Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
(kulia) akimkaribisha Balozi wa Sudan hapa nchini, Dk. Yassir Mohamed
Ali,kabla ya mazungumzo naye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
(kushoto) akizungumza na Balozi wa Sudan hapa nchini, Dk. Yassir Mohamed
Ali, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini
Dar es Saloaam, leo.
Balozi wa Sudan hapa nchini Dk. Yassir
Mohamed Ali (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana, kitabu kuhusu nchi hiyto, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
0 comments:
Chapisha Maoni