Wanakiji wa kiji cha Mukarehe wilayani Ngara wakishangaa mabaki ya mwili wa kijana huyu ambaye hakuweza kutambuliwa mara moja ukiwa umebaki mkaa kisa katuhumiwa kuiba maharage
Ni hatari na inatisha kama Tanzania tumefikia hapa na tunaendelea kuyafumbia macho matukio haya na watuhumiwa nao wakiwa wanajulikana
Tukio hili limetokea Katika kijiji cha MUKAREHE Wilayani Ngara ambapo Kijana mmoja ameuawa kwa tuhuma za wizi wa Maharage ambayo yanaonekana hapo chini yakiwa yamemwagika.
0 comments:
Chapisha Maoni