![]() |
| Ghorofa ya juu ya Westgate Mall baada ya kupigwa kombora na vikosi vya Kenya. |
![]() |
| Hizi ndizo zile Ghorofa tatu zilizobomolewa kwa kombora. |
![]() |
| Uharibifu mkubwa baada ya ghorofa kulipuliwa kwa kombora... |
![]() |
| Baadhi ya magari baada ya kuteketea kwa moto juu ya jengo la Westgate Mall. |
![]() |
| Sehemu ya maegesho ya magari ndani ya jengo hilo baada ya kupigwa kombora zito. |





0 comments:
Chapisha Maoni