Searching...
Jumanne, 3 Septemba 2013

HIVI NDIVYO LOWASA ALIVYOTUA MWANZA KUMZIKA ASKOFU KULOLA

Waziri mkuu mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Zenobius Isaya wakati alipowasili leo jioni jijini Mwanza, kushiriki ibada ya mazishi ya Marehemu Askofu Kulola anayetarajiwa kuzikwa kesho jijini Mwanza .
Wadau na viongozi mbalimbali wamempokea kiongozi huyu. 
Akisalimiana na moja kati ya wachungaji wa KKKT Mwanza.
Hapa akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama, Mhe. Ezekiel Maige.
Salaaam salaaam.
Waziri mkuu mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akisalimiana na aliyekuwa mjumbe wa Baraza kuu taifa UVCCM Mkoa wa Mwanza Barnabas Mathayo wakati alipowasili leo jioni jijini Mwanza, kushiriki ibada ya mazishi ya Marehemu Askofu Kulola anayetarajiwa kuzikwa kesho jijini Mwanza .
Mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama, Mhe. Ezekiel Maige (kushoto) akisalimiana na mmoja kati ya viongozi wa makanisa.
Safu ya akinamama viongozi.
Waziri mkuu mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akiendelea kusalimiana na maaskofu na wachungaji waliompokea, nyuma yake ni Mjumbe wa NEC Wilaya ya Busega Raphael Chegeni na Mjumbe wa NEC CCM Wilaya ya Arumeru Mathius Manga (Mkurugenzi wa Gold Crest Hotel ya jijini Mwanza).

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!