Mwanamke
akilia kwa uchungu huku akiomba msaada baada ya watu wenye silaha
kuvamia duka jijini Nairobi na kuua zaidi ya watu 15 na kujeruhi wengine
50,tukio lililotokea leo jumamosi 21.09.2013
Mwili
mwingine wa mmoja kati ya watu waliokuwepo wakati wa shambulio hilo
ambaye ni mmoja kati ya watu waliofariki dunia katika shambulio hilo.
Ofisa wa polisi akiwa katika kona kuwinda wauaji.
Mwana mama akilia kwa uchungu baada ya kujeruhiwa vibaya katika tukio hilo.
Katoto kadogo kakiwa kamepotezana na mama yake kakimkimbilia polisi ili kumuokoa na wauaji hao.
Askari
polisi akiwa amembeba mtoto kwa mkono mmoja huku mkono mwingine ukiwa
umeshikilia silaha kwaajili ya lolote litakalotokea mbele yake
KILA MTU ANAOKOA NAFSI YAKE..ILIKUA NI KAMA VITA
Katoto kadogo kakiwa katika hali mbaya baada ya kupigwa risasi katika mashambulio hayo
KILA AINA ZA SILAHA ZILITUMIKA KUWAKABILI WAVAMIZI HAO.
Katoto kadogo kakiwa katika hali mbaya baada ya kupigwa risasi katika mashambulio hayo
KILA AINA ZA SILAHA ZILITUMIKA KUWAKABILI WAVAMIZI HAO.
0 comments:
Chapisha Maoni