JIJI LA SHANGHAI NCHINI CHINA |
Leo hii tarehe 27-09-2013 Blog yako ya MCHOME BLOG inatimiza miezi sita tangu ilipoanzishwa rasmi tarehe 27-03-2013 ikiwa na story ya kwanza hiyo hapo juu iliyokua na kichwa cha habari JE TANZANIA TUTAFIKA LINI HUKU?.
shukrani za kipekee kutoka kwa uongozi na wafanyakazi wa MCHOME BLOG kwako wewe mpenzi na mtembezi wa Blog hii ya kijamii,kwa hakika bila wewe blog hii isingeweza kufika hapa ilipofikia leo.
Miezi sita iliyopita kulikua hakuna MCHOME BLOG na hakuna mtu aliijua MCHOME BLOG lakini leo hii imeshatembelewa na watu takribani laki mbili na ni watu kutoka mataifa zaidi ya 97 duniani huku Tanzania ikiongoza,ikifuatiwa na Marekani,Uingereza,Finland,Canada,Falme za Kiarabu na nyinginezo nyingi.
Tunapenda kuwahakikishia kwamba tumejipanga vizuri kukuleteeni habari za Ukweli na kwa muda muafaka.
THANK YOU VERY MUCH OUR VISITORS WE REAL APPRECIATE!!
AHSANTENI SANA.
FOR WISHING HAPPY BIRTHDAY MCHOME BLOG,JUST SHARE IT.
0 comments:
Chapisha Maoni