Searching...
Jumapili, 1 Septemba 2013

DROGBA AMTUMIA LUKAKU UJUMBE MZITO

Happier times: Didier Drogba posted this photo on Instagram with a message of support to Romelu Lukaku, left, after his Super Cup travails
Mchezaji wa kimataifa wa Ivory coast Didier Drogba amemtumia Romelu Lukaku ujumbe mzito kufuatia kukosa penalti katika kombe la Super Cup katika mechi ya fainali dhidi ya Bayern Munich penalti iliyowapa ubingwa Munich baada ya kwenda dakika 120 na kutoka sare ya mabao 2-2.
Spot woe: Chelsea's Lukaku reacts after after missing his penalty in the Super Cup final
Romelu Lukaku baada ya kukosa penalti.
Disappointment: Lukaku is consoled by his Chelsea team mates after missing
Wachezaji na viongozi wa Chelsea wakimfariji Lukaku baada ya kukosa penalti.Didie Drogba 
Didie Drogba ametuma picha akiwa na Lukaku kwenye mtandao wa Instagram ikiwa na ujumbe huu 'Kwa wale tu ambao hawapigi penalti ndio hawakosi penalti,lakini wewe!! Only those who don't take a penalty never miss and you were strong enough to do it.
'kwa sasa unajifunza,kama mimi nilivyojifunza wakati nilipopewa kadi nyekundu kwenye fainali kule Moscow au katika nusu fainali dhidi ya Barcelona!!!
'endelea kufanya kazi kwa bidii,kwasababu nakuhakikishia siku nzuri zinakuja.Wewe ni  Chelsea, wewe ni blues na blues kamwe hawakati tamaa.'
Turkish delight: Drogba currently plays for Galatasaray
Mtambo wa magoli Drogba kwa sasa akikipiga na timu ya Galatasary ya uturuki.
Goal machine: Drogba enjoyed a successful spell with Chelsea
Kipindi hicho Drogba akiwa Chelsea.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!