Reality Tv show(In My Shoes) ya Miss Tanzania wa mwaka 2006 na sasa
muigizaji wa filamu Wema Sepetu itarushwa rasmi East Afrika
Television(Eatv) kuanzia mwezi ujao(October) tofauti na hapo awali
ambapo habari ziliandikwa kuwa itarushwa Clouds Tv. Kupitia twitter
kituoo hicho maarufu cha Tv Afrika mashariki kimeandika.............
Jumamosi, 21 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


0 comments:
Chapisha Maoni