AMINI USIAMINI MTOTO WA TEMBO ALIA MACHOZI BAADA YA MAMA YAKE KUTAKA KUMUUA.
Home
»
Unlabelled
» AMINI USIAMINI MTOTO WA TEMBO ALIA MACHOZI BAADA YA MAMA YAKE KUTAKA KUMUUA.
MTOTO WA TEMBO AKILIA MACHOZI BAADA YA MAMA YAKE MZAZI KUMKATAA BAADA YA KUJIFUNGUA NA KISHA KUTAKA KUMUUA.
Haya ni maajabu ambayo kwa hakika ni vigumu sana kuyaamini lakini hivi ndivyo ilivyotokea kwa tembo mtoto kulia kwa saa tano mfululizo bila kutulia baada ya mama yake mzazi kumkataa muda mfupi baada ya kumzaa na kisha kutaka kumuua,lakini Vets anasema anaamini ilikua ni bahati mbaya tu kwa mama yake kutaka kumkanyaga.wahifadhi wa hifadhi hiyo wanasema walimtibu majeraha yake na kisha kumrudisha kwa mama yake mzazi lakini saa mbili baadae alimshambulia tena ndipo walipoamua kumchukua mtoto huyo wa tembo na kumlaza ndani huku wakimfunika blanket.
BAADA YA MAMA YAKE KUMKATAA NA KUTAKA KUMUUA AKAAMUA KUJENGA URAFIKI NA MHIFADHI MMOJA NA KUMCHUKULIA KAMA MAMA YAKE.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.