Searching...
Ijumaa, 30 Agosti 2013

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI HILO MAKAO MAKUU JIJINI DSM



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (CP) Suleiman Kova. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kamishna wa Utawala, Rasilimali na Fedha wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve.

 (Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi). 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!