Searching...
Jumamosi, 17 Agosti 2013

WATU 28 WAJERUHIWA 6 KATI YAO VIBAYA SANA..HIZI HAPA PICHA 7 ZA MATUKIO YA AJALI HIYO

 Askari polisi wa usalama barabarani akimsaidia mtoto mdogo ambaye alikuwepo kwenye ajali hiyo
 Nesi akiendelea kuwapima afya zao majeruhi wa ajali hiyo
 Madaktari wakiendelea kuhangaika kuokoa maisha ya majeruhi
 Kazi inaendelea.
 Ni kama wanasema..hapa sijui tufanyeje,yaani tuanzie wapi tumalizie wapi
 Mmoja wa majeruhi akiwa hoi kwenye kitanda cha kubebea wagonjwa
 Ama kweli uchungu wa mwana aujuaye mama,yaani hapa huyu traffic ni kama anatamani kuwa daktari ghafla amtibu huyu mtoto
...............
ABIRIA 28 WAMEJERUHIWA  NA KATI YAO SITA WALIKUWA KATIKA HALI MBAYA ZAIDI NA WAMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA TABORA KITETE.
AKIZUNGUMA WAKATI AKIENDELEA KUTOA HUDUMA YA KUWASHONA MAJERUHI MAKUBWA KATIKA MIKONO, DOCT JOEL HOZA AMESEMA KUWA HAKUNA MTU YOYOTE ALIYEPOTEZA MAISHA  KATIKA AJALI HIYO.
KAMANDA WA POLISI MOANI TABORA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI  PITER OUMA AMELITAJA GALI LILILOPATA AJALI KUWA NI LA KAMPUNI YA RADACK  LENYE NAMBA ZA USAJILI T 918 ALG. NA DEREVA HAKUMTAJA JINA KWA KUWA ALITOROKA MUDA MFUPI TU BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!