Searching...
Jumamosi, 17 Agosti 2013

MTANGAZAJI WA ITV AFIWA NA BABA YAKE MZAZI,AZIMIA.

Mtangazaji wa ITV& Capital Radio  Hawa Hassan (kulia) akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga baba yake aliyefariki dunia siku chache zilizopita,kushoto ni mtangazaji mwenzake wa Capital Radio Sophia Rajabu mamaa wa kash kash akimsaidia rafiki yake na kumliwaza wakati wa msiba huo mzito.
wakati wa pilika pilika za kuandaa mazishi ya marehemu mzee Hassan Nyumbani kwake mwanga mkoani kilimanjaro. (hapa walikua wakiswalia maiti)
 Masikinii,Hawa Hassan akiwa hoi kwa majonzi na uchungu wa kuondokewa na baba yake mzazi.
 Uchungu wa kuondokewa na mzazi jamani sio mchezo,hapa Bi.Hawa Hassan akiwa amezimia muda mfupi tu baada ya mwili wa baba yake kuchukuliwa kupelekwa makaburini tayari kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele
Mwili wa marehemu ukipelekwa makaburini tayari kwa maziko.
WAFANYAKAZI WOTE WA MCHOME BLOG WANAKUPA POLE SANA HAWA HASSAN NA FAMILIA YAKO NA MUNGU AKUPE NGUVU NA UVUMILIVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU NA CHA MAJONZI.
INALILAHI WAINALILAHI ROJIUN...BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE AMEEN!!!

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!