Bandari ya Zanzibar
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na
abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti jioni
hii
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka
bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza
hilo kitakachofanyika kesho, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui
Baadhi yao wakisubiriana kabla ya kupanda mabasi maalum yaliyoletwa bandarini kuwabeba
Wajumbe wakiwa katika mabasi
Wajumbe wakiwasili Ofisi Kuu ya UVCCM Zanzibar
Baada ya wajumbe hao kushuka
Kikundi cga Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa kesho.









0 comments:
Chapisha Maoni