WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 18/08/2013.
[Mikoa ya Kagera ,Mara na
Mwanza]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga,Pwani na Dar Es Salaam]: [Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Tabora,Kigoma na
Shinyanga,]:
[Mikoa ya Dodoma, Ruvuma na
Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi
na Mtwara]:
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na
Iringa]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:38
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:21
|
DODOMA
|
28°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
30°C
|
01:02
|
MBEYA
|
26°C
|
12:42
|
MWANZA
|
27°C
|
12:52
|
TABORA
|
31°C
|
12:50
|
TANGA |
29°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:21
|
PEMBA
|
28°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
27°C
|
12:28
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km
30 kwa Pwani ya Kaskazini na
kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa Pwani ya
Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi kwa Pwani ya Kaskazini na mawimbi
Madogo kwa
Pwani ya Kusini.
Matazamio kwa usiku wa Jumapili:
18/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 18/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni