WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 02/08/2013.
[ Mikoa ya Tanga, Pwani na
Dar es salaam]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Kagera]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi ,mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma
na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, ,Iringa
na Mbeya]:
[Mikoa ya Tabora, Mwanza na
Kigoma]:
[Mikoa ya Rukwa, Mara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA
MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YOTE YA PWANI NA
ZIWA VICTORIA. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
12:38
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:21
|
DODOMA
|
25°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
30°C
|
01:02
|
MBEYA
|
20°C
|
12:42
|
MWANZA
|
28°C
|
12:53
|
TABORA
|
28°C
|
12:50
|
TANGA |
28°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:21
|
PEMBA
|
28°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:28
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km
40 kwa saa; kwa Pwani yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa .
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
02/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 02/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
0 comments:
Chapisha Maoni