Searching...
Alhamisi, 22 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA IJUMAA AGST 23,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
       MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
          S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 23/08/2013.
[Mikoa ya Kagera na Mara]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar Es Salaam,  Pwani  na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Tabora, Kigoma na Shinyanga]:
[Mikoa ya  Dodoma , Singida na Mwanza  ]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya, Mbeya, Iringa na Rukwa]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
      23°C               
12:37
D'SALAAM
           31°C           
12:22
DODOMA
27°C
12:37
KIGOMA           
31°C
01:02
MBEYA
24°C
12:43
MWANZA
29°C
12:51
TABORA
29°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
           29°C           
12:22
PEMBA
           28°C           
12:25
MOROGORO
30°C
12:29
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
Matazamio kwa usiku wa Ijumaa: 23/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!