Searching...
Jumatatu, 5 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA AGST 05,2015 JUMATATU



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 05/08/2013.
[Mikoa ya Pwani,Tanga na Dar es salaam]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi mvua nyepesi katika baadhi ya maeneo  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Mara ]: 

Hali ya mawingu kiasi ,mvua na  ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Rukwa  na Ruvuma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:38
D'SALAAM
29°C           
12:21
DODOMA
25°C
12:37
KIGOMA           
29°C
01:02
MBEYA
17°C
12:42
MWANZA
27°C
12:53
TABORA
29°C
12:50
TANGA
28°C
12:25
ZANZIBAR
28°C           
12:21
PEMBA
27°C           
12:25
MOROGORO
28°C           
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini -Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa ukanda wote wa Pwani .
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi .
Matazamio kwa usiku wa Jumatatu: 05/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 05/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!