Searching...
Jumatano, 7 Agosti 2013

SITAONGELEA TENA KUHUSU UHAMISHO WA CESC FABREGAS-MOYES ATOA KAULI YA KUKATA TAMAA

Cesc won't join United, say BarcaCESC FABREGAS - BARCELONA.
Kocha wa Manchester United David Moyes katika hali ya kuonyesha kukata tamaa mchana huu amesema hataongelea tena kuhusu uhamisho wa kiungo wa Barcelona Cesc Fabregas.
Tayari hadi sasa Manchester United wamekwaa kisiki mara mbili baada ya ofa zao kukataliwa na Barcelona na kusisitiza kwamba kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania hauzwi lakini kwa sasa wakati wakiwa katika mchakato wa kutuma ofa ya tatu kocha Moyes amegoma kuzungumzia ofa hiyo wala swala lolote kuhusiana na uhamisho huo: ‘sitazungumza lolote kuhusu uhamisho wa Fabregas.’alisikika Moyes.
 David Moyes wambaye anakabiliwa na wakati mgumu wa kumbakisha Wayne Rooney ambaye amekosa mechi ya kirafiki jana usiku dhidi ya AIK Stockholm ambapo walitoka sare ya goli moja kwa moja

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!