Mshambuliaji
wa Simba, Betram Mombeki akimtoka mchezaji wa Polisi Kombaini, Magige
Machango katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa Polisi Kombaini, Admin Bantu akimtoka
mshambuliaji wa Simba, Abdulhalim Humud
katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam
Mshambuliaji
wa Simba Betram Mombeki akishangilia goli aliloifungia timu yake dhidi
ya Polisi Kombaini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Polisi Kombaini.
0 comments:
Chapisha Maoni