Mbunge
wa jimbo la Morogoro kusini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh
Innocent Kalogeris akifyatua matofali jana katika kata ya Kisemo
Morogoro vijijini ikiwa ni siku aliyojipangia na wananchi wa jimbo hilo
na yeye kama mbunge wao kuhamasishana kujitolea katika shuguli za
maendeleo.
Mbunge huyo akionyesha mfano Namna ya kufyatua matifali.
Kata
ya kisemo Morogoro vijijini inayoundwa na vijiji vitano navyo ni Nige
,Dabwala.Nige Mashariki,Nige Magharibi Nige Mteremko wamejipanga
kufyatua tofali laki moja kwa ajili ya ujenzi wa shule na zahanati
Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akiendelea na shuguli
ya kufyatua matolai jimboni kwake akishirikiana na wananchi wa jimbo
hilo.
Mbunge
wa jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akiwa na mwenyekiti
wa kijiji Mzee Dimoso wakati wa shuguli za kujitolea kijijini hapo
Mbunge
wa jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akiongea na wananchi
wa vitongoji vya Nige ,Dabwala.Nige Mashariki,Nige Magharibi Nige
Mteremko
Mbunge
wa jimbo la Morogoro kusini pamoja na wananchi wa jimbo hilo wakiandaa
udongo kwa ajili ya maandalizi ya kufyatua matofali jimboni kwake
0 comments:
Chapisha Maoni