Searching...
Alhamisi, 15 Agosti 2013

SHEIKH PONDA ATUPWA SEGEREA

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (wa pili kulia), ambaye kwa sasa anakabiliwa na tuhuma za uchochezi,  akitolewa kutoka hosiptali ya mifupa Moi katika kitengo cha  mifupa MOI jijini Dar es Salaam majira ya asubuhi leo tayari kabisa kuelekea gereza la segerea

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!