Searching...
Jumatatu, 5 Agosti 2013

MKUU WA WILAYA YA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF), NANE NANE MBEYA

 MKUU WA WILAYA YA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO  AKIPATA MAELEZO JUU YA MFUKO HUO KUTOKA KWA ERICK KATO 
 MKUU WA WILAYA YA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO  AKIULIZA SWALI JUU YA MFUKO HUO 
 MKUU WA WILAYA YA  MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO  AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA ERICK KATO JUU YA HUDUMA MPYA YA KUCHANGIA KWA HIALI KUTOKA KATIKA MFUKO HUO 
 BANDA LA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)  LILILOPO NANE NANE MBEYA 
 WAFANYAKAZI WA PSPF WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MKUU WA WILAYA YA  MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO AMBAYE HAONEKANI PICHANI 

 MKUU YA  WILAYA WA MAKETE MH. JOSEPHINE MATIRO  AKISOMA MOJA YA KIPEPERUSHI CHA PSPF 
 KUTOKA KUSHOTO NI HIDAYA DODO, ERICK KATO, SAMWELI SUMWA , GODFREY OBUNDE.
NA MBEYA YETU.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!