Mwenyekiti
wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa Hai Mh.Freeman Mbowe(katikati)akiwa na
Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema(kushoto)kwenye mkutano wa
hadhara jimbo la Hai Jana ikiwa ni mwanzo wa ziara ya
siku tatu ambayo inafanywa kwa helikopta kwenye Jimbo la hai ambapo
mbunge wa Hai Freeman Mbowe ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.
Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema akiunguruma kwenye mkutano wa
hadhara jimbo la Hai Jana ikiwa ni mwanzo wa ziara ya
siku tatu ambayo inafanywa kwa helikopta kwenye Jimbo la hai ambapo
mbunge wa Hai Freeman Mbowe ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.
Sehemu ya Umati mkubwa uliyojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti
wa Chadema Taifa na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe(hawapo pichani)akiwa na
Mbunge wa jimbo la arusha mjini Godbless Lema(kushoto)kwenye mkutano wa
hadhara jimbo la Hai Jana ikiwa ni mwanzo wa ziara ya
siku tatu ambayo inafanywa kwa helikopta kwenye Jimbo la hai ambapo
mbunge wa Hai Freeman Mbowe ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.
Picha na Chadema
0 comments:
Chapisha Maoni