Mikel
Ruffinelli ni mwanamke mwenye umri wa miaka 40 na ni mwanamke mwenye
Hips kubwa kuliko mwanamke yeyote duniani na anafurahia sana mwili wake.
mwanamam
huyu ana hipsi ukubwa wa futi 5 kwa 4 na 420 pounds, Ruffinelli
anahakikisha kila siku anatumia vyakula vya calories nyingi ili apate
calorie 3,000 ili kuhakikisha kwamba mwili wake haupungui
Mwanamke
huyu kitabibu anatakiwa kubeba ujauzito mara nne tu kutokana na unene
wake.Ruffinelli alianza kuwa mnene tangu akiwa na umri wa miaka 22 baada
ya kujifungua mtoto wake wa kwanza Andrew hapo ndipo hips zake
zilipoanza kuongezeka mara dufu.
Hapo
awali Ruffinelli alijaribu kupunguza uzito kwa kutumia milkshake pamoja
na vyakula vya kuondoa mafuta mwilini lakini kwa sasa anasema yupo na
furaha tele na anaupenda sana mwili wake na anakula vyakula vya mafuta
ili asipungue.
Mikel
Ruffinelli anasema "Mume wangu anaupenda mwili wangu na huwa
tunafurahia sana tunapokua kitandani-hakuna staili ambayo hatufanyi
tukiwa kitandani,na huwa kila siku mume wangu ananiambia mimi ni
mzuri,wanaume wengi hawapendi wanawake wembamba,wanapenda sana mabongisa
kama mimi"alimalizia.
0 comments:
Chapisha Maoni