Searching...
Alhamisi, 15 Agosti 2013

HUYU NDIYE AFANDE FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYENASWA JANA AKILA VICHWA DSM

 Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa. Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa leo akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari.
         PICHA ZOTE KWA HISANI YA MICHUZI BLOG

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!