Searching...
Jumamosi, 10 Agosti 2013

HAYA NDIYO MAGANDA YA RISASI ZILIZOTUMIKA KUMUUA TAJIRI BILIONEA WA ARUSHA

Katika hali isiyo ya kawaida na ambayo inakua vigumu kuamini katika eneo la tukio la mauaji ya kinyama ya mfanyibiashara maarufu katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha marehemu ERASTO MSUYA jeshi la polisi limeokota maganda mengi ya risasi zinazotumika katika bunduki ya kivita ya SMG au AK 47 ambapo kama picha hapo juu inavyoonyesha inamaanisha marehemu alipigwa zaidi ya risasi 15 mwilini mwake.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!