Hayawi hayawi sasa yanakuwa timu ya Manchester United wamefikia makubaliano na timu ya Everton ya kumnunua Marouane Fellaini kwa kitita cha paundi milioni 20.
kocha wa zamani wa Everton David Moyes amekuwa katika mawindo kwa wachezaji wawili wa klabu hiyo Fellaini na Baines
0 comments:
Chapisha Maoni