Mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwasili uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa.
Viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mwenyekiti wao Taifa
Bw Freeman Mbowe wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Iringa
kwa mahojiano baada ya kudaiwa kujiongezea muda katika mkutano wao
wa hadhara kwa ajili ya mabaraza la maoni ya rasmu ya katiba .
0 comments:
Chapisha Maoni