Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongozwa na Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana kwenda viwanja vya Makao Makuu ya CCM, mjini
Dodoma leo kuzindua Baraza la Ushauri la Viongozi wastaafu wa CCM. nyuma
ya Kinana ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), wakishangilia wakati
wa hafla ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kuzindua Baraza hilo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Mwenyekiti mstaafu
wa CCM, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alipowasili kwenye uzinduzi wa
Baraza hilo. Mwinyi baadaye alichagulia na wanabaraza wenzake kuwa
Mwenyekiti wa Baraza hilo. Kushoto ni Mjumbe wa Baraza hilo Makamu
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM (Bara) John Malecela na watatu kushoto ni
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed
Shein
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimakribisha Rais Kikwete
kuzindua Baraza la Ushauri la Viongozi wastaafu wa CCM leo mjini Dodoma.
Wengine kushoto ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu Mwenyekiti
mstaafu wa CCM (Bara) John Malecela, Mwenyekiti mstaafu wa CCM Rais
Mstaafu Ali Hassan Miwnyi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali
Mohamed Shein na Kutoka kulia (walioketi) ni Makamu Mwenyekitin wa CCM
mstaafu (Bara) Pius Msekwa, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM (Zanzibar),
Dk. Amani Abeid Karume na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu
Benjamin Mkapa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakay6a Kikwete akizindua Baraza la Ushauri la
viongozi wastaafu wa CCM, leo mjini Dodoma, huku akiwa na wajumbe wa
baraza hilo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) na Makamu Mwenyekiti
wa CCM(Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza kabla ya kuzindua baraza hilo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar) Dk.
Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza
la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, baada ya kuzindua baraza hilo
leo mjini Dodoma. Kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni
Kinana.
Mwenyekiti wa Baraza la Ushsuri la Viongozi wastaafu wa CCM, Mwenyekiti
mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza kikao cha
kwanza cha Baraza hilo leo mjini Dodoma. Kushoto ni Wajumbe wa Baraza
hilo John Malecela na Amani Abeid Karume na kulia ni Mjumbe wa Baraza
hilo, Benjamin Mkapa na Katibu wa Baraza Pius Msekwa.
Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao chca NEC kilichofanyika leo mjini
Dodoma kama Baraza la Kitaifa la Kitaasisi kujadili maoni ya rasimu ya
katiba mpya yaliyotolewa na mabaraza ya chini ya kitaasisi ya CCM hivu
karibuni. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed
Sheni na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa kwenye kikao hicho
Wajumbe wa Baraza la Ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, Kutoka kulia,
John Malecela, Amani Abeid Karume na Pius Msekwa wakiwa kwenye kikao
cha NEC, baada ya Baraza hilo kualikwa kwa ajili ya kushiriki katika
mjadala wa rasimu ya Katiba mpya kwa upande wa CCM kama taasisi.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro
akiwasilisha makusanyo ya maoni ya katiba kama yaliyotolewa na mabaraza
ya ngazi za chini ya CCM kama taasisi, leo kwenye kikao hicho cha NEC.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akijadiliana mambo na
watendaji wenzake katika Chama, nje ya ukumbi wa White House mjini
Dodoma leo, kabla ya kuzinduliwa Baraza la Ushauri la Wastaafu wa CCM .
Kutoka kulia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Muhamed Seif Khatib, Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na Mwenyekiti wa Jumuia ya
Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo.
Karibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimshauri Jambo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa Baraza la
ushsuri la Wastaafu wa CCM leo mjini Dodoma.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika uzinduzi wa Baraza hilo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia mmoja wa wana-CCM
waliohudhuria hafla ya kuzinduliwa Baraza la Washauri la Wastaafu wa CCM
leo mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sadifa Hamis akishauriana jambo
na Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Martine Shigela wakati wa kikao cha NEC
mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Costansia Buhiye akiwa katika ukumbi wakati wa kikao cha NEC leo mjini Dodoma
Katibu wa NEC, Itrikadi na uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi
wa habari leo mjini Dodoma kuhusu yaliyojiri katika kikao cha Kamati Kuu
ya CCM kilichofanyika jana. Pamoja na mambo mengine, Nape amesema,
Kamati Kuu amejadili suala ya sakata la madiwani wanane katika
Halmashausri ya Bukoba, mkoani Kagera ambao Halmashauri Kuu ya CCM mkoa
huo ilutangaza kuwatimua hivi karibuni ambapo Nape amesema, Kamati Kuu
imeamua kuwaita ili kukutana nao kesho viongozi wanane katika mloa huo
aliowataja kuwa Mwenyekiti na Karibu wa CCM mkoa wa Kagera, Mwenyekiti
na Katibu wa CCM wilaya ya Bukoba mjini, Mbunge wa Bukoba mjini na Meya
wa Halmashauri ya Bukoba.
0 comments:
Chapisha Maoni