Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako
baada ya kuwasili kwenye mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakikagua shamba la
nanasi la Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika
kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa
Njombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakikagua shamba la nanasi la Katibu
Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke
wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akivuna nanasi katika shamba la Katibu Mkuu
Mstaafu, Philemon Luhanjo (katikati) lililopo katika kijiji
cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe
Julai 10,2013. Kulia kwake ni mkewe Tunu.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusindika
mananasi katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara
ya mkoa wa Njombe. Kulia ni Mkewe Tunu.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
0 comments:
Chapisha Maoni