Searching...
Jumapili, 21 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATATU JULY 22 UKIWA NA TAHADHARI KALI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
22/07/2013.


[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga,]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI: UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI  MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA  
                         BAADHI YA MAENEO YOTE YA  PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:38
D'SALAAM
31°C           
12:21
DODOMA
28°C
12:36
KIGOMA           
28°C
01:01
MBEYA
23°C
12:41
MWANZA
28°C
12:53
TABORA
30°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
30°C           
12:21
PEMBA
28°C           
12:25
MOROGORO
29°C           
12:28
 
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani 
       ya Kaskazini na kutoka Kusini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.



Matazamio kwa usiku wa Jumatatu: 22/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 22/07/2013

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!