Searching...
Jumatano, 17 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATANO JULY 17,2013



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 17/07/2013

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Rukwa na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
              23°C               
12:36
D'SALAAM
            30°C            
12:19
DODOMA
28°C
12:35
KIGOMA           
28°C
01:01
MBEYA
24°C
12:39
MWANZA
30°C
12:51
TABORA
30°C
12:49
TANGA
29°C
12:24
ZANZIBAR
           30°C           
12:19
PEMBA
           28°C           
12:24
MOROGORO
           31°C           
12:26

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-mashariki  kwa  Pwani ya Kaskazini na kwa kwa kasi ya km 40 kwa saa ukanda wa  Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa

   Matazamio kwa usiku wa Jumatano: 17/07/2013: Mabadiliko kidogo.

   Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/07/2013

   Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!