Searching...
Jumanne, 9 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATANO JULY 10,2013



WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

                        TAREHE 10/07/2013.

Mkoa wa Mbeya (Tukuyu)
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.





VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:




MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                23°C               
12:35
D'SALAAM
            30°C           
12:18
DODOMA
26°C
12:34
KIGOMA           
30°C
12:59
MBEYA
21°C
12:37
MWANZA
31°C
12:50
TABORA
29°C
12:47
TANGA
30°C
12:22
ZANZIBAR
          29°C           
12:18
PEMBA
         29°C           
12:22
MOROGORO
        27°C           
12:25



Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini  kwa kasi ya km 40 kwa saa; kwa Pwani ya Kaskazini

                                               na kutoka Kusini-Mashariki kwa  Pwani ya Kusini



Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.



Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 10/07/2013: Mabadiliko kidogo.



Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 10/07/2013.



 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!