Kutoka kushoto ni Dj Luke, Mhe, Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Ramadhan Muombwa
Mwinyi, Mama Lily Munanka, Idd Sandaly na Baraka Daudi katika picha ya
pamoja wakati wakiingia ukumbini.
Watoto wa darasa la Kiswahili DMV wakiimba wimbo wa Taifa.
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akihutubia mamia ya Watanzania waliofika
kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili na sherehe ya miaka 3 ya
Vijimambo na kulifungua rasmi.
Shilole na Masanja mkandamizaji wakikandamiza na kugaragaza kwenye
Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili na miaka 3 ya sherehe ya Vijimambo.
Shilole (mwenye gauni la punda milia) akimnyanyua Afisa Ubalozi Mindi
Kasiga kwenye moja ya nyimbo zake alizotumbuiza kwenye tamasha hilo.
Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiwa tayari kuondoka.
0 comments:
Chapisha Maoni