Searching...
Jumamosi, 27 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI JULY 27,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
27/07/2013.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
 [ Mkoa wa Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na  Morogoro ]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na  Mwanza]: 
[Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Tabora  na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C
12:38
D'SALAAM
30°C
12:21
DODOMA
27°C
12:36
KIGOMA           
31°C
01:01
MBEYA
22°C
12:41
MWANZA
30°C
12:53
TABORA
29°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
27°C
12:21
PEMBA
           28°C           
12:25
MOROGORO
           29°C           
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani  yote.            
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa Jumamosi: 27/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 27/07/2013
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!