Searching...
Ijumaa, 19 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI JULY 20,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 20/07/2013




[Mikoa ya Tanga ,Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara na  Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi , ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Shinyanga,Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora,Morogoro na Kigoma]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.





VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:




MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:36
D'SALAAM
31°C           
12:19
DODOMA
28°C
12:35
KIGOMA           
29°C
01:01
MBEYA
22°C
12:39
MWANZA
28°C
12:51
TABORA
30°C
12:49
TANGA
29°C
12:24
ZANZIBAR
29°C           
12:19
PEMBA
28°C           
12:24
MOROGORO
28°C           
12:26



Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini  kwa

                               Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa  Pwani ya Kusini.



Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi



Matazamio kwa usiku wa Jumamosi: 20/07/2013: Mabadiliko kidogo.



Utabiri huu umetolewa leo tarehe 20/07/2013



Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!