Tazama taswira za Maonyesho ya Agri-finance fair yanayoendelea hivi sasa kwenye viwanja vya nane nane Njiro-Arusha. Maonyesho haya yameandaliwa na TAHA USAID, SNV, TRIAS, FERT, AGRI-FOCUS, TCCIA, FARMERS PRIDE, SMART DEVELOPMENT WORKS.Lengo kuu la maonyesho haya ni kuunganisha Wakulima na Taasisi za fedha ambazo zinatoa mikopo kwa wakulima kwa ajili ya kilimo cha biashara.
Banda la Tanzania Horticultural Association TAHAMgeni rasmi Bi. Chiku Issa, Mkurugenzi tawi la CRDB Arusha akipewa maelezo na mkurugenzi wa TAHA Bi. Jacqueline Mkindi kuhusu shughuli za TAHA kwa wakulima wa Horticuluture.Wakulima wakipita kwenye mabanda ili kujua huduma nzuri ya mikopo kwa wakulima inayotolewa na taasisi za fedha zilizohudhuria kwenye maonyesho.Wataalamu wa masuala ya mikopo kwa wakulima kutoka TRIAS wakitoa maelezo kuhusu huduma zao kwa wakulima






0 comments:
Chapisha Maoni