Searching...
Jumanne, 2 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JULY 03,2013 JUMATANO


WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION /RADIO ONE

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 03/07/2013.


 
[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:35
D'SALAAM
31°C            
12:18
DODOMA
26°C
12:34
KIGOMA           
30°C
12:59
MBEYA
22°C
12:37
MWANZA
31°C
12:50
TABORA
29°C
12:47
TANGA
30°C
12:22
ZANZIBAR
29°C           
12:18
PEMBA
28°C           
12:22
MOROGORO
28°C           
12:25

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa; kwa
                               Pwani ya Kaskazini na kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusin.

  Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 03/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 03/07/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!