Searching...
Alhamisi, 1 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA AUGOST MOSI,2013 UKIWA NA TAHADHARI YA UPEPO.


           WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

30/07/2013.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[ Mikoa ya Pwani, Dar es salaam na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro]
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara na  Mwanza]: 


Hali ya mawingu kiasi , ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
 [Mikoa ya Tabora  na Kigoma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.



TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YOTE YA PWANI NA ZIWA VICTORIA. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:




MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               23°C               
12:38
D'SALAAM
           30°C           
12:21
DODOMA
27°C
12:36
KIGOMA           
29°C
01:01
MBEYA
26°C
12:41
MWANZA
28°C
12:53
TABORA
31°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
          29°C           
12:21
PEMBA
          28°C           
12:25
MOROGORO
          28°C           
12:28



Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini  kwa Pwani  ya

                                   Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa .

Matazamio kwa usiku wa Jumanne: 30/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/07/2013

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!