Searching...
Jumatano, 17 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA ALHAMISI JULY 18,2013



WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 18/07/2013



[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Rukwa na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.





VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:




MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
12:36
D'SALAAM
28°C            
12:19
DODOMA
27°C
12:35
KIGOMA           
29°C
01:01
MBEYA
24°C
12:39
MWANZA
32°C
12:51
TABORA
30°C
12:49
TANGA
29°C
12:24
ZANZIBAR
29°C           
12:19
PEMBA
28°C           
12:24
MOROGORO
31°C           
12:26



Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa  kwa  Pwani yote



Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa





   Matazamio kwa usiku wa Alhamis: 18/07/2013: Mabadiliko kidogo.



   Utabiri huu umetolewa leo tarehe 18/07/2013



   Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!