Waziri  wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na  Rais  wa  Benki ya Export Import ya Korea  wakionyesha mkataba wa mkopo wenye  thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya  kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es  Salaam. 

  Waziri  wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti  na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya  kusaini  mkataba  wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya  Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
  Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Dickson Maimu (wa tatu  kushoto ) na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export and Import Korea  Yong  Hwan Kim(wa pili kulia)wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya  wafanyakazi wa mamlaka hiyo baada ya halfa ya kusaini Mkataba wa Mkopo  kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhia vitambulisho vya Taifa, leo  jijini Dar Es Salaam.
  Waziri  wa Fedha Dk.William Mgimwa (wa pili kushoto),Balozi wa Korea nchini  Chung Il(wa kwanza kulia),Mwenyekiti na Raisi wa Benki ya Export and  Import Korea Yong Hwan Kim(wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Fedha(Sera)  Saada Salum(kushoto), wakiwa  katika  picha ya pamoja baada ya hafla ya kusaini mkataba wa mkopo wa Kujenga  vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa kutoka Benki ya Export and  Import Korea.
  Naibu  Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akipokea zawadi kutoka kwa  Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export and Import ya Korea baada ya hafla  ya kusaini iliyofanyika Wizara ya Fedha leo jijini Dar Es Salaam. 
  Waziri  wa Fedha Dk.William Mgimwa  akitoa neno la shukrani kwa niaba ya  Serikali ya Tanzania  kwa Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import  ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo  vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Naibu  Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akipokea zawadi kutoka kwa  Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export and Import ya Korea baada ya hafla  ya kusaini iliyofanyika Wizara ya Fedha leo jijini Dar Es Salaam.
  Naibu  Waziri wa Fedha(Sera), Saada Salum(wa kwanza kushoto) na Naibu Waziri  wa Mambo ya Ndani Pereira A.Silima wakipiga makofi ya shukrani Baada ya  Waziri wa Fedha kusaini mkataba wa mkopo wa kujenga vituo vya kuhifadhi  vitambulisho vya Taifa kutoka  Export and Import Benki ya Korea,jijini Dar Es Salaam.
  Naibu  katibu Mkuu Wizara ya Fedha,Elizabeth Nyambibo(wa kwanza Kushoto),Naibu  Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani Mbaraka Abdul(katikati) na Naibu Waziri  wa Fedha Saada Salum wakifuatilia hafla ya kusaini mkataba wa mkopo kwa  ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhia vitambulisho vya Taifa  uliotolewa na Benki ya Export and Import Korea ,leo jijini Dar Es Salaam.picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo).

0 comments:
Chapisha Maoni