Searching...
Jumatano, 31 Julai 2013

TANZANIA, THAILAND ZASAINI MKATABA WA KUBADILISHANA WAFUNGWA.


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(kulia) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand, Mhe. Sura Pong Tovichakehaikul (kushoto) wakisaini Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Tanzania na Thailand.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa tatu kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wengine Waandamizi wa Serikali ya Tanzania na Thailand wakishuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand jana. Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es SalaamKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Stephen Masele walipokutana jana Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es Salaam kushuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand
(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!