Misri inaadhimisha mwaka mmoja wa rais wao Mohammed Mursi kushika madaraka ya chi hiyo kwa maandamano ya umma ambapo vyama vya upinzani nchini humo vimedhamiria kumuondosha madarakani rais huyo wakati huo huo wale wanaomuunga mkono wameapa kumlinda rais huyo kwa nguvu na uwezo wao wote hadi mwisho
Na DW Swahili.
0 comments:
Chapisha Maoni