Searching...
Jumanne, 2 Julai 2013

NI HUZUNIIIII,MTOTO WA MIEZI MINNE ATUPWA AKIWA UCHI AOKOTWA NA WASAMARIA WEMA


 Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV,Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo



 Hembu angalia jinsi katoto kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake kumbe msamaria mwema.
 
 
 
 
 
 Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwa.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!