Mtoto Jasleen aliyezaliwa na uzito mkubwa huko nchini Ujerumani na kuvunja rekodi ambapo amezaliwa akiwa na kilo 6.1na urefu wa sentimita5.
Jambo la kushangaza kuhusu mtoto huyu ni kwamba amezaliwa kwa njia ya kawaida (sio kwa operation) huko University Hospital mjini
Leipzig.
Mama na mtoto wote wanaendelea vizuri na mtoto yupo kwenye uangalizi katika chumba maalumu cha watoto
Hapo awali mtoto George King mtoto wa kifalme wa uingereza alizaliwa huko nchi ni Uingereza mwaka 1879 akiwa na kilo saba ndiye aliyekuwa anayeshikilia rekodi ya mtoto mkubwa duniani
0 comments:
Chapisha Maoni