Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa mfiwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo Julai 11, 2013Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji baadhi mume wa marehemu, Profesa Maro, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2013.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baba wa marehemu Sir George Kahama sambamba na viongozi wengine wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishiMume wa marehemu Profesa Maro akiwa katika gari hilo na watoto wakeProfesas Maro akiwasili makaburiniWaziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akitoa mkono wa pole kwa Profesa MaroMama Salma Kikwete akitoa mkono wa poleMama Salma Kikwete akimpa pole binti wa marehemuRais Kikwete akitoa Mkono wa pole kwa mtoto wa marehemuRais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa wafiwaPole kwa wafiwaPole kwa wafiwaSehemu ya waombolezajiRais Kikwete akiongea na Profesa Maro, mume wa marehemuWaombolezaji wakiwa mazishini
Ijumaa, 12 Julai 2013
Related Posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


















0 comments:
Chapisha Maoni