Mheshimiwa rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi
 
 Erick Shigongo mkurugenzi wa kampuni ya Global publishers, waandaji wa Tamasha la matumaini akitoa neno la ufunguzi
 
 Mmoja wa Wabunge wa Yanga akionyesha mbwmbwe zake wakati wakiingia katika vyumba vya kubadilisha nguo tayari kwa maandalizi ya mechi dhidi ya watani wao Simba.
 
Baadhi wa wabunge wa Yanga wakiingia uwanjani kufanya mazoezi
Waimba injili Ambwene Mwasongwe (kulia) na Edson (kushoto) wakiimba sambamba katika Tamasha la Matumaini 2013.
Edson kazini.
Ambwene Mwasongwe.
Sehemu ya nyomi ikilipuka kwa burudani