Omukama Kikwete akihutubia wananchi Missenyi
Rais
Jakaya Kikwete baada ya kutawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi
wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera akiwa na kiongozi wa
wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais
Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa
ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee
wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais
Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa
ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa
wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa
Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku
ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.Picha na IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni