HATUMTAKI DAVID LUIZ WALA JUAN MATA-MUACHENI ROONEY HAUZWI -MAN U WAKATAA OFA YA CHELSEA MCHANA HUU
Home
»
Unlabelled
» HATUMTAKI DAVID LUIZ WALA JUAN MATA-MUACHENI ROONEY HAUZWI -MAN U WAKATAA OFA YA CHELSEA MCHANA HUU
Hatimaye ule usemi wa ukisema cha nini mwenzio anasema nitakipata lini ndio unaowatesa MANCHESTER UNITED baada ya kocha wao DAVID MOYES kumpasha kwamba si lolote si chochote mfumania nyavu wao mahiri WAYNE ROONEY kauli ambayo imempa nguvu kocha wa CHELSEAMreno JOSE MOURINHO. JUAN MATA NA DAVID LUIZ. Taarifa za mchana huu zinasema Man U wamekataa ofa ya paundi milioni 10,na kuchagua kumchukua ama DAVID LUIZ au JUAN MATA huku wakisisitiza kwamba mchezaji wao ROONEY hauzwi.
0 comments:
Chapisha Maoni