Anajulikana kwa Jina la Wakazi ....Ni Mtanzania Ambae yuko katika
harakati za Hip Hop muda mrefu japo kipindi cha nyuma alikuwa
akizifanyia hizo harakati Marekani ..ila kwa sasa Yupo Tanzania
....Jumapili hii Aburudisha katika Show ya Big Brother ya Kila
Jumapili.....Hongera Brooooooo tunaomba usituangushe tutakua nyuma yako usiogope
Alhamisi, 4 Julai 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni